MBINGU NA NCHI - ZIWANI AY CHOIR // Official Video
Автор: Ziwani AY choir
Загружено: 2024-03-15
Просмотров: 12025
Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka toka mbinguni, akitoa amri kwa sauti kuu pamoja na sauti ya malaika mkuu na sauti ya tarumbeta ya Mungu; na wale waliokufa wakiwa wanamwamini Kristo watafufuka kwanza. Kisha sisi tulio hai bado, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu tukutane na Bwana angani. Na hivyo tutakuwa na Bwana milele.
Wathesalonike 4:16-17
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: