VIBAKA WANNE WAUAWA KWA KUCHOMWA MOTO KAHAMA | KAMANDA WA POLISI AFUNGUKA LILIVYOKUWA
Автор: Gold TV
Загружено: 2025-06-17
Просмотров: 2412
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni Vibaka wameuwa kwa kuchomwa Moto na Wananchi wenye hasira kali katika Mtaa Mhongolo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa baadhi ya Mashuhuda wa Tukio hilo akiwemo Ibrahim Jacob, wamesema kuwa watu hao wamekuwa wakitekeleza matukio ya kihalifu hasa nyakati za usiku kwa kuwavizia watu kisha kuwapora mali zao na hata kuwajeruhi.
Akithibisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda ya Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi amesema jitihada za kuwatambua watu hao zinaendelea huku akiwataka Wananchi kutojichukulia Sheria wanapokamata Wahalifu bali wawafikishe katika Vyombo va Sheria.
🎥@dbashhussain @mlelekwajr
#TusikilizeKupitia 88.7MHz Kahama, 88.7MHz Shinyanga, 90.7MHz Simiyu, 94.5MHz Geita | #OnlineRadioBox @goldfmtanzania
#GoldDigital #Tunakukonekti! #DhahabuHalisiImewaka..!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: