KATIBU MKUU UTUMISHI ATEMBELEA KITUO CHA USAILI LINDI
Автор: AJIRA TV
Загружено: 2025-12-21
Просмотров: 481
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Mkomi ametembelea moja ya vituo vya usaili Mkoani Lindi ili kujionea namna usaili unavyoendeshwa ili kupata wataalamu watakaoajiriwa katika Utumishi wa Umma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: