‘Haiwezekani nikulipe halafu unakaa kunitukana’ –Spika Ndugai
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-05-02
Просмотров: 124925
May 2, 2017 Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai alionesha kutopendezwa na baadhi ya wasaidizi wa ofisi ya Bunge wanaohusika kuandika hotuba za kambi rasmi ya upinzania Bungeni ambazo zimekuwa zikivunja miiko ya utumishi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: