HISIA EPISODE 3 | Felling | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV
Автор: NYUKI TV
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 10884
🎬 HISIA | EPISODE 3
Katika Episode hii, hisia zinazidi kuchanganyikana na siri zinaanza kubana kama mtego. Mapenzi yanapimwa, imani inapotea. Maneno yanayofichwa yanaumiza kuliko ukweli wenyewe. Kila mhusika anapambana na dhamira yake, akilinda kilicho moyoni huku hofu ya ukweli kufichuka ikizidi kukua.
Ni wakati ambapo upendo unagongana na hofu, maamuzi yanacheleweshwa, na ukimya unakuwa adui mkubwa kuliko uongo. Je, hisia zitashinda au siri zitavunja kila kitu?
📺 Tazama Episode 1 sasa hapa NYUKI TV
👉 Usisahau Subscribe, Like na Share ili usikose episode zinazofuata.
#hisia #MarriageDrama #lovestory #love #film
CASTING
NYUKI
AMANDA
PASAR
KAKOSO
KING NOEL
ADAM LEO
CREW
DIRECTED BY
NYUKI FX
DIRECTOR OF PHOTOGRAPHY
NYUKI FX
EX.PRODUCER
NYUKI TV
Contact Us
WhatsApp number +61 416 593 217
Email [email protected]
Filmmaking Est Africa Tanzania
Romantic Drama | Shortfilm | Love Story | Web Series | Swahili movie's
Copyright © 2025 Nyuki TV. All rights reserved
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: