MAKONDA: CHANGAMKIENI FURSA KARIBU KILI-FAIR
Автор: Angelo Media
Загружено: 2025-06-02
Просмотров: 197
Jumatatu Juni 02, 2025 Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametembelea Viwanja vya Magereza, Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha, kukagua maendeleo ya maandalizi ya maonesho ya Utalii ya KARIBU KILI-FAIR yatakayofayika kuanzia Juni 6-8, 2025.
Makonda ametoa wito kwa wakazi wa Arusha na maeneo mengine nchini, kuchangamkia fursa hiyo kufanya biashara kwa kutoa huduma mbalimbali kwa wageni.
@karibukilifair6537
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: