RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA SONGWE.
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2019-10-03
Просмотров: 13581
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Songwe na Wilaya zake
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: