VIVUTIO VYA RUVUMA GUMZO IRINGA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2023-09-25
Просмотров: 138
Vivutio vya utalii Mkoa wa Ruvuma vimekuwa kivutio kwenye Maonesho ya Utalii Karibu Kusini yanayofanyika mkoani Iringa yakishirikisha mikoa nane nchini.
Maonesho hayo yalifunguliwa na Waziri wa Maliasili na utalii Septemba 23 yanatarajia kukamilika Septemba 27 mwaka huu .
Katika maonesho ya mwaka huu wadau wa utalii wanaonesha vivutio na bidhaa za utalii zilizopo kwenye mikoa ya ukanda wa Kusini .
Mikoa inayoshiriki kwenye maonesho hayo ni Ruvuma,Mtwara,Lindi.Njombe,Iringa,Mbeya,Morogoro na Rukwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: