Mailimojasda choir: Imba wimbo wa shangwe: Official 4k video
Автор: MAILIMOJA SDA CHOIR KIBAHA
Загружено: 2024-12-31
Просмотров: 781
Yesu akiwsmbia wanafunzi wake kuhusu dalili za kuja kwake na za mwisho wa Dunia aliwambia "Habari njema itahubiriwa kwa watu wote na ndipo ule mwisho utakapokuja" Mathayo 24:4.
Jukumu kuu alilotuachia Yesu kabla ya kwenda mbinguni ni "UTUME"
Mathayo 28:9-20.
Injili lazima ihubiriwe kwa watu wote na njia tofauti ili kila mtu apate Habari njema za ufalme. Ni furaha Mbinguni kwa mdhambi mmoja anapotubu na kuacha dhambi zake.
Tunakualika kutubu dhambi yako na Kisha kuwaambia wengine juu ya upendo wa Mungu kwetu kupitia Yesu Kristo.
Karibu ubarikiwe
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: