Beat ya Kisukuma Kwa Kuanza Mpaka Mwisho FL Studio Step by Step 02
Автор: Ng'hangaFX Music Lab.
Загружено: 2025-07-21
Просмотров: 161
[07:45, 21/07/2025] ng'hangaFx: Karibu kwenye channel ya Ng’hangaFx Official! 🎧
Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza beat ya asili ya Kisukuma kwa kutumia FL Studio. Mafunzo haya ni maalum kwa wale wanaopenda muziki wa kitamaduni, hasa wenye ladha ya Kisukuma – yenye midundo ya ngoma, marimba, na sauti za asili.
Mambo utakayojifunza:
Vitu vya kuzingatia kabla ya kuanza kutengeneza beat
Kuchagua vyombo vya asili (ngoma, marimba, shakers n.k.)
Kuandika melody ya kitamaduni
Mixing ya awali ya beat yako
Mbinu za kuiweka beat isikike kiasili na ya kisasa pia
👉 Usisahau kusubscribe, ku-like na ku-comment ili nipate moyo wa kuendelea kuwaletea mafunzo mengine mazuri zaidi!
🔔 Bonyeza kengele upate notification kila nikipost video mpya!
[ng'hangaFx: NghangaFx #FLStudio #BeatZaKisukuma #TanzaniaMusic #BongoBeats #MusicProduction #NghangaOnTheBeat
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: