SIKU ZA MWISHO, KUNYAKULIWA KWA KANISA - DAY 1 - Pastor Emanuel Meshy
Автор: ICC - Mito Ya Uzima
Загружено: 2018-02-14
Просмотров: 6050
Katika video hii utajifunza;
1. Maana ya Injili hai ya Yesu Kristo
2. Viambata (Ingridients) vinavyoitofautisha Injili ya Yesu na Injili zingine
3. Maana ya Kanisa hai la kweli la Yesu
4. Sababu kuu kati ya sababu nyingine ya kuwepo kwa kanisa la Yesu ulimwenguni.
Ndugu mpendwa wangu, jiandae kubarikiwa zaidi sana kwenye somo la siku ya pili, Alhamisi 15 February 2018.
Subscribe kwenye Channel hii, share pia na wengine wengi nao wabarikiwe. Amen
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: