WAKAAZI WA OLD TOWN WATISHIA KUNG'OA MITA ZA MAJI MSA KUTOKANA NA UHABA WA BIDHAA HIYO MUHIMU
Автор: Al Shifaa Television Kenya
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 502
Wakaazi wa mtaa wa Old Town, Mombasa wametoa makataa ya siku saba kwa serikali ya kaunti na kampuni ya usambazaji maji kushughulikia tatizo sugu la uhaba wa maji, la sivyo watang’oa mita za kisasa za maji walizopewa na serikali ya kaunti, iwapo hali haitabadilika.
#kenya #nairobitrendingnews #news #reels #mombasa #trending #kilifi #likoni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: