80 WATUNUKIWA VYETI KWA KUSOMA LUGHA YA KICHINA, BALOZI AFUNGUKA, OLENASHA ASEMA NI FURSA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2019-11-23
Просмотров: 539
Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke amesema lugha ina nafasi kubwa katika kuimarisha uhisiano katika ya nchi za China na Tanzania hivyo amewataka Wachina kujifunza Kiswahili na Watanzania kujifunza Kichina.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: