MAZISHI YA PAPA FRANCIS | WATU 250,0000 WAFURIKA ST. PETER KUMUAGA!🥹💔😭
Автор: NJE YA BOX TV
Загружено: 2025-04-26
Просмотров: 124
Zaidi ya watu 250,000 kutoka kila pembe ya dunia wamekusanyika katika Uwanja wa St. Peter kushiriki mazishi ya Papa Francis, aliyefariki dunia Aprili 21, 2025 akiwa na miaka 88.
Ibada iliongozwa na Kardinali Giovanni Battista Re, ikihusisha makardinali, maaskofu, mapadri na maelfu ya waumini waliokuja kumuaga Baba Mtakatifu wa watu wote.
Tazama tukio hili la kihistoria lenye hisia, sala na heshima kuu kwa Papa Francis aliyegusa maisha ya mamilioni duniani kote.
.
.
.
#MazishiYaPapaFrancis #PapaFrancis #Vatican #MisaTakatifu #Historia #KanisaKatoliki
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: