Umwagiliaji wa Matone kwa Chupa za Plastiki: Njia Endelevu kwa Kilimo na Utunzaji wa Mazingira
Автор: Floresta Tanzania
Загружено: 2025-01-30
Просмотров: 5418
Jifunze mbinu rahisi na endelevu ya kutumia chupa za plastiki kwa umwagiliaji wa matone katika kilimo. Njia hii inasaidia kupunguza upotevu wa maji, kulinda mazingira na kuongeza mavuno kwa wakulima wadogo
#tuiponyeardhinawatuwake #floresta #florestatanzania #kilimohai
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: