NENO LA SIKU | Yohana 15 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Utumwa | Isaac Javan
Автор: Neno La Siku
Загружено: 2024-10-25
Просмотров: 3233
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na tano, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda roho ya utumwa. Hii ni roho inayomtumikisha mtu, na kumlazimisha awe vile asivyopenda kuwa, na aishi vile asivyopenda kuishi. Ni aina ya roho yenye nguvu ya utawala kwenye maisha ya mtu, kwa namna ambavyo bila msaada wa Mungu mtu hawezi kuishi maisha yake kwa uhuru. Lakini siku ya leo kupitia maombi haya, BWANA anaenda kukupa ushindi na uhuru kwa utukufu wa jina la YESU. Nakuombea ukauone ukuu wa Mungu kupitia maombi ya leo, na maisha yako yafunguliwe kwa jina la YESU. Ameen!
Isaac Javan
+255 745 76 45 72
#tanzania #kenya #uganda #millardayo #maombi #mafundisho #nenolamungu #biblia #prayer #prayerpoints #annointing #ukombozi #uponyaji #shuhuda #yesu #maombiyasiku #zaburi #holyspirit #arusha #dodoma #gwajima #mwalimu #gospel #injili #injiliyakristo #upendo #wokovu #heaven #semina #mkutano #maisha #toba #huduma #deliveranceprayer #pastor #nyimbo #tenzizarohoni #gospelmusic
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: