Polisi wamuua kijana mmoja mjini Mombasa na kumuhusisha na visa vya ugaidi
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2014-09-14
Просмотров: 43436
Maafisa wa polisi mjini Mombasa wamesema kuwa wamemuua mshukiwa mmoja wa ugaidi, huku wakiongeza kuwa mshukiwa mkuu aliyekuwa akisakwa alifanikiwa kutoroka. Kwa mujibu wa polisi walipata gruneti moja ndani ya nyumba alikouliwa mshukiwa huyo. Lakini familia ya marehemu na wanaharakati wameshutumu vikali mauaji hayo wakidai kuwa mauaji hayo ni ya kiholela kwani mshukiwa alipaswa kukamatwa badala ya kuuawa. John Juma na maelezo zaidi.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: