Neema Gospel Choir - Nitakaa kwako (Live Music Video)
Автор: Neema Gospel Choir
Загружено: Дата премьеры: 4 апр. 2025 г.
Просмотров: 62 134 просмотра
Hakuna mahali salama, pazuri na pa kutosheleza kama kuwa katika uwepo wa Mungu. Tunapochagua kukaa, hatumaanishi kutembelea kwa muda mfupi, bali kukaa daima.
Katika uwepo wake tunapata amani, ulinzi, na nguvu zake.
Kukaa katika uwepo wa Mungu si tu kuwa kanisani kimwili. Ni hali ya moyo inayomtamani Mungu. Kupitia maombi, ibada, kutafakari Neno lake, na kutii, tunamkaribisha Mungu akae nasi.
Kama vile Musa alikataa kusonga mbele bila uwepo wa Mungu (Kutoka 33:15), vivyo hivyo nasi tunapaswa kutamani kila hatua tunayochukua iongozwe na Roho wake.
---------
There is no safer, sweeter, or more satisfying place to be than in the presence of God. When we choose to dwell—not just visit occasionally, but abide—in His presence, we experience His peace, protection, and power.
Staying in God’s presence is not just about being in a physical church building. It’s about maintaining a heart posture that longs for Him. Through prayer, worship, meditating on the Word, and obedience, we create space for God to dwell with us.
Just like Moses refused to move unless God’s presence went with him (Exodus 33:15), we too should desire that every step we take is led by His Spirit.
______
Songwriter & Composer: Joseph Mussa, David Kusekwa & Fredrick Masanja
#neemagospelchoir #gospel #nitakaakwako
——
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: / neemagospelchoirtz
Facebook: / neemagospel
X: https://x.com/NeemaGospelChor/
Threads: https://www.threads.net/@neemagospelc...
Tiktok: / neemagospelchoir
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: [email protected]
Website: www.neemagospelchoir.org
©️2024

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: