Bandari ya Maruhubi (Mpigaduri) kuwa tishio kuanzia Januari 2026 | Makamu wa Pili atoa maelekezo
Автор: JUU MEDIA
Загружено: 2025-12-10
Просмотров: 3739
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Ndugu Akif Ali Khamis pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ZFDEVCO wakiangalia mchoro wa Ramani ya Bandari ya Maruhubi (Mpigaduri) inayoendelea kujengwa katika eneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR )
Tarehe 26.11.20
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: