Mbunge kangi Lugola hakubaliani na wabunge kukatwa kodi 'mnataka turudi mtaani mtucheke'
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2016-06-10
Просмотров: 16593
Baada ya serikali kutangaza bajeti yake ya mwaka 2016/2017 huku moja ya makusanyo yakiwa ni kwenye kodi iliyoelekezwa kwa wabunge, Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola amesimama bungeni kupinga hatua hiyo ya serikali kuondoa msamaha wa kodi kwenye mafao ya wabunge.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: