Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

RC TABORA AAGIZA KUKAMATWA KWA WATUMISHI 3 NA MMILIKI WA ZAHANATI YA HOSSIANA KWA KULAZA WAGONJWA

Автор: Cg Online Tv

Загружено: 2024-05-24

Просмотров: 56466

Описание:

#CgOnlineTv
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameagiza kukamatwa kwa watumishi watatu na mmiliki wa zahanati ya Hossiana Mission iliyopo Manispaa ya Tabora kwa kufanya upasuaji na kulaza wagonjwa kinyume cha taratibu na miongozo ya afya.
Mkuu wa mkoa Chacha, amesema baada ya uchunguzi watakaobainika kuhusika na matukio hayo wafikishwe mahakamani huku akimuagiza mganga mkuu kufanya ukaguzi kwenye zahanati na vituo vyote vya afya mkoani humo na kuvifungia vituo vyote vitakavyobainika kukiuka kanuni za afya.
Miongoni mwa waliokamatwa ni pamoja na kaimu mkurugenzi wa hospitali hiyo Sara Elias, mganga mfawidhi Ezra Masesu, mmiliki wa zahanati hiyo Dkt. Festo Jafari na daktari mmoja mstaafu ambaye hutumiwa kufanya upasuaji kituoni hapo.
Awali mganga mkuu wa mkoa wa Tabora Dkt. Honoratha Rutatinisibwa alimweleza mkuu wa mkoa kuwa timu ya afya ya mkoa ilibaini uwepo wa huduma za kulazwa wagonjwa katika zahanati hiyo kinyume cha taratibu na baada ya kufanya ukaguzi waliwakuta wagonjwa wawili waliopewa rufaa ya kwenda Bugando wakiwa wamelazwa na kuandaliwa kwa ajili ya upasuaji.
Mganga mfawidhi wa kituo hicho Ezra Masesu amekiri kuwapokea wagonjwa hao akisema aliwapokea wagonjwa hao kwa maelekezo ya mmiliki wa kituo hicho ambaye ni daktari wa hospitali ya Rufaa mkoa wa Tabora Kitete aliyeko masomoni.
Zahanati ya Hossiana Mission imefungiwa wakati huu ambao taratibu nyingine za kisheria zikiendelea kuchukuliwa.

RC TABORA AAGIZA KUKAMATWA KWA WATUMISHI 3 NA MMILIKI WA ZAHANATI YA HOSSIANA KWA KULAZA WAGONJWA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

UJENZI WA DARAJA LA MTO MALAGARASI SGR TABORA - KIGOMA WAFIKIA  56%

UJENZI WA DARAJA LA MTO MALAGARASI SGR TABORA - KIGOMA WAFIKIA 56%

MWANAFUNZI AJIFUNGUA CHOONI TABORA-RC CHACHA ACHARUKA

MWANAFUNZI AJIFUNGUA CHOONI TABORA-RC CHACHA ACHARUKA

NI MAJONZI NA VILIO: KIJANA ALIYEANZA KUUGUA AKIWA JKT AFARIKI,WAZAZI WAWASHUKURU WATANZANIA

NI MAJONZI NA VILIO: KIJANA ALIYEANZA KUUGUA AKIWA JKT AFARIKI,WAZAZI WAWASHUKURU WATANZANIA

DIWANI AINGIA KWENYE 18 ZA RC TABORA,

DIWANI AINGIA KWENYE 18 ZA RC TABORA, "NANI MWINGINE ANAWASUMBUA HAPA?"

KUANZIA DESEMBA 11 MVUAZITAREJEA TABORA - TMA

KUANZIA DESEMBA 11 MVUAZITAREJEA TABORA - TMA

Генерал-майор Ртищев: «СБУ моделировала взрыв «грязной бомбы»

Генерал-майор Ртищев: «СБУ моделировала взрыв «грязной бомбы»

MKUU WA MKOA WA TABORA KUPIGA MARUFUKU UUZAJI WA MAJENEZA HADHARANI

MKUU WA MKOA WA TABORA KUPIGA MARUFUKU UUZAJI WA MAJENEZA HADHARANI

MIFUGO TABORA YACHUKULIWA SAMPULI

MIFUGO TABORA YACHUKULIWA SAMPULI

BREAKING! Mtafaruku MKUBWA Sana Kufuatia Kifo cha Jenista Mhagama, Kukamatwa Geoffrey Mwambe

BREAKING! Mtafaruku MKUBWA Sana Kufuatia Kifo cha Jenista Mhagama, Kukamatwa Geoffrey Mwambe

TABORA MANISPAA YAPOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILLIONI 270 MIAKA 4 YA DR. SAMIA/ZIMETUMIKA KATIKA MAENEO

TABORA MANISPAA YAPOKEA ZAIDI YA SHILINGI BILLIONI 270 MIAKA 4 YA DR. SAMIA/ZIMETUMIKA KATIKA MAENEO

MZOZO WAIBUKA WAKATI WAKUAGA MWILI WA DAKTARI ALIYEFARIKI TABORA, KISA NDUGU WA MAREHEMU

MZOZO WAIBUKA WAKATI WAKUAGA MWILI WA DAKTARI ALIYEFARIKI TABORA, KISA NDUGU WA MAREHEMU

SIMULIZI YA DEREVA JUMA MAGANGA - IMEBAKI MILIONI 20 KUOKOWA MAISHA YANGU

SIMULIZI YA DEREVA JUMA MAGANGA - IMEBAKI MILIONI 20 KUOKOWA MAISHA YANGU

Tabora United yasema ni timu moja tu ndio itawasumbua msimu ujao

Tabora United yasema ni timu moja tu ndio itawasumbua msimu ujao

HABARI KUBWA MCHANA HUU LEO IJUMAA.

HABARI KUBWA MCHANA HUU LEO IJUMAA.

Nani Anayesema Ukweli Juu Ya Kifo Cha Moringe Sokoine? Hii Hapa Historia Yake Mwanzo Mwisho (Part1)

Nani Anayesema Ukweli Juu Ya Kifo Cha Moringe Sokoine? Hii Hapa Historia Yake Mwanzo Mwisho (Part1)

MWALIMU ADAIWA KUMLAWITI MWANAFUNZI, MZAZI ASIMULIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUGUNDUA

MWALIMU ADAIWA KUMLAWITI MWANAFUNZI, MZAZI ASIMULIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUGUNDUA

DEREVA AUZA TANI 30 ZA MBOLEA YA TUMBAKU NA KUTELEKEZA GARI SIKONGE-TABORA

DEREVA AUZA TANI 30 ZA MBOLEA YA TUMBAKU NA KUTELEKEZA GARI SIKONGE-TABORA

BINTI AKUTWA AMEUAWA ENEO LA CHUO TABORA, WANANCHI WACHARUKA 'ENEO LIGAWANYWE

BINTI AKUTWA AMEUAWA ENEO LA CHUO TABORA, WANANCHI WACHARUKA 'ENEO LIGAWANYWE

Ideologia Rosji jako trwałe źródło zagrożenia || Radosław Sikorski - didaskalia#163

Ideologia Rosji jako trwałe źródło zagrożenia || Radosław Sikorski - didaskalia#163

Afisa Elimu 'ALIVYOZIMIA' Baada ya RC MWANRI Kutumbua

Afisa Elimu 'ALIVYOZIMIA' Baada ya RC MWANRI Kutumbua "Mimi SIJALI Ukizimia"

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]