JE, MNAZIBA PRESSURE COOKER SAFETY VALVE ZENU NA KIJITI? KAMA NDIO, NI HATARI SANA.
Автор: Cities & Flavors
Загружено: 2022-10-17
Просмотров: 225
Kwanini Safety Valve ya Pressure Cooker ni muhimu? Kwenye Video hii tutawaonyesha kwa nini ni hatari kutumia pressure cooker kama imezibwa na kijiti
Hakikisha unaangalia video mpaka mwisho ili kujifunza kwa nini hairuhusiwi kuziba hio tundu na vijiti na mabolt, na kwanini sufuria za pressure cooker zinalipuka, ili uweze kutumia pressure cooker yako jikoni kwa usalama zaidi
Pia kama una "ushauri" au swali yoyote, andika kwenye comment ili wengine pia wafaidike! kama umefurahishwa na video hii, hakikisha una like, share na kusubscribe kwenye channel yetu.
Asanteni sana na karibuni wote.
Instagram link: / fundi_dsm
Facebook page link: / bombaywallla
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: