Msigwa azungumza kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na CCM
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-07-01
Просмотров: 3112
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kinauguza jeraha baada ya kutemwa na mmoja kati ya waliokuwa viongozi wake waandamizi mchungaji Peter Msigwa. Msigwa anatajwa kuwa mwanasiasa mwenye uwezo mzuri wa kujenga hoja na mara zote kuwakosoa wale ambao walitangaza kukihama chama chake. Pamoja na masuala mengine Sudi Mnette amezungumza na Msigwa ambaye jana alipokewa na mwenyekiti wa kitaifa wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: