🕌 MAULID YA MAJALISI EL-ULAA EL-QAADIRIYA
Автор: RHAPTA CHANNEL
Загружено: 2025-10-04
Просмотров: 79
Karibu tuungane katika sherehe tukufu ya Maulid ya Mtume Muhammad ﷺ iliyoandaliwa na Majaalis El-Ulaa El-Qaadiriyya katika Uwesiya kibaha pwani
📖 Hafla hii imejaa nuru ya Qur’an, Qaswida, Madah na mawaidha kutoka kwa Masheikh, kwa ajili ya kuenzi na kumkumbuka Mtume wetu mpenzi ﷺ.
✨ Lengo ni kuimarisha imani, kuongeza mapenzi kwa Mtume ﷺ, na kukuza mshikamano wa Kiislamu kupitia elimu, dua na baraka za maulid.
📢 Usikose kushiriki nasi moja kwa moja au kutazama tukio hili kupitia chaneli hii.
🔔 Subscribe ili upate matangazo ya vipindi vyote vya baadaye vya Majaalis El-Ulaa El-Qaadiriyya.
❤️ Share na ndugu na marafiki kwa ajili ya kusambaza kheri.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: