YULE DADA SIO VAILETH WA MATONYA H-BABA AONESHA USHAIDI WOTE | VAILETH ANA MAISHA MAZURI TU
Автор: Mino Bongo
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 7703
Msanii Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva H BABA Amekanusha madai ya mwanadada anaejiita Vaileth wa Matonya aliedai kuwa yeye ndo aliusika kwenye ile video ya wimbo wa Matonya wa Vaileth akiomba msaada kwa watanzania kutokana na Ugumu wa Maisha anaopitia, Yule sio Vaileth, H-baba ameonesha ushaidi huu.
Jiunge nasi kupitiaa mitandao yetu yakijamii:
FACEBOOK: / minotv
INSTAGRAM: / minotv_tz
TIKTOK: / minobongo25
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: