Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Maajabu ya Ziwa Kindai - “Kindai alitumbukia, akapatikana baada ya siku tatu akiwa hai” (MAKALA)

Автор: Azam TV

Загружено: 2019-03-14

Просмотров: 16970

Описание:

Hii ni Makala inayoangazia historia ya Ziwa Kindai linalopatikana mjini Singida ambalo awali ilikuwa ni mbuga ikitumiwa na wafugaji.

Mmoja kati ya wafugaji hao alifahamika kwa jina la Kindai. Mfugaji huyo alitumbukia kwenye bwawa hilo wakati wakioga, lakini alipatikana baada ya siku tatu akiwa hai, na hapo ndipo ziwa hilo lilipoanza kuitwa Kindai.

Ni bwawa ambalo linategemewa kwa kiasi kikubwa na wakazi wa Singida kwa chumvi, maziwa na samaki lakini limekuwa na maajabu ya hapa na pale, ikiwemo wakazi wa eneo hilo kupoteza mtu kila mwaka.

Cha kuvutia zaidi ni historia yake ambayo kwenye Makala hii imeelezwa kwa kina kuanzia chimbuko la ziwa lenyewe na hadi asili ya jina la Kindai.

Salim Mhando amezungumza na wenyeji ambao ndiyo watuamiaji na wanaijua vizuri historia ya ziwa hilo ambao wamesimulia maajabu mengi wanayoyashudia kwenye ziwa hilo.

Maajabu ya Ziwa Kindai - “Kindai alitumbukia, akapatikana baada ya siku tatu akiwa hai” (MAKALA)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

ЧУРЧХЕЛА — Настоящий рецепт от А до Я

ЧУРЧХЕЛА — Настоящий рецепт от А до Я

The Story Book: ZIWA CHALA, Nyumba ya Mizimu ya Kichaga❗️ (LAKE CHALA Swahili Documentary)

The Story Book: ZIWA CHALA, Nyumba ya Mizimu ya Kichaga❗️ (LAKE CHALA Swahili Documentary)

CHAN 2024: Makala maalumu kuhusu sikuu ya soka isiyosahaulika Tanzania

CHAN 2024: Makala maalumu kuhusu sikuu ya soka isiyosahaulika Tanzania

MAGOROTO: Kwa vivutio hivi vya Magoroto ya Muheza, unaweza kupaita peponi (MAKALA)

MAGOROTO: Kwa vivutio hivi vya Magoroto ya Muheza, unaweza kupaita peponi (MAKALA)

MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 27/11/2025

MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 27/11/2025

HISTORIA YA ZIWA SINGIDANI NA FURSA ZA KIUCHUMI KWA JAMII INAYO LIZUNGUKA.

HISTORIA YA ZIWA SINGIDANI NA FURSA ZA KIUCHUMI KWA JAMII INAYO LIZUNGUKA.

IJUE HISTORIA YA BWAWA LA KINDAI NA MAJABU YAKE LINALO PATIKANA MKOANI SINGIDA.

IJUE HISTORIA YA BWAWA LA KINDAI NA MAJABU YAKE LINALO PATIKANA MKOANI SINGIDA.

MAAJABU;ZIWA LILILOIBUKA KIMIUJIZA KATIKATI YA KIJIJI

MAAJABU;ZIWA LILILOIBUKA KIMIUJIZA KATIKATI YA KIJIJI "WALIKOSEA MASHARITI"

#TBC: UFAHAMU MGODI WA SHANTA SINGIDA NA UZALISHAJI WAKE WA MADINI

#TBC: UFAHAMU MGODI WA SHANTA SINGIDA NA UZALISHAJI WAKE WA MADINI

ИХ ПОГУБИЛА ТУПОСТЬ: 10 САМЫХ ТУПЫХ МАРШАЛОВ СССР, ЧЬИ ПРОВАЛЫ СКРЫВАЛИ ОТ НАРОДА

ИХ ПОГУБИЛА ТУПОСТЬ: 10 САМЫХ ТУПЫХ МАРШАЛОВ СССР, ЧЬИ ПРОВАЛЫ СКРЫВАЛИ ОТ НАРОДА

ALLY HAPI AFIKA SINGIDA KUSIKILIZA KERO za WANANCHI....

ALLY HAPI AFIKA SINGIDA KUSIKILIZA KERO za WANANCHI....

Amazing Singida Town Tour With Motor Cycle (Tanzania Tour)

Amazing Singida Town Tour With Motor Cycle (Tanzania Tour)

Страшная СТРЕЛЬБА у Белого дома ВОТ КТО учинил ПЕРЕСТРЕЛКУ Срочная реакция Трампа @Популярная политика

Страшная СТРЕЛЬБА у Белого дома ВОТ КТО учинил ПЕРЕСТРЕЛКУ Срочная реакция Трампа @Популярная политика

IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI

IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI

⚡СРОЧНО! Трамп сорвался ЖЁСТКИМ РЕШЕНИЕМ после ТЕРАКТА в Вашингтоне. Силовикам УЖЕ дан ДИКИЙ ПРИКАЗ

⚡СРОЧНО! Трамп сорвался ЖЁСТКИМ РЕШЕНИЕМ после ТЕРАКТА в Вашингтоне. Силовикам УЖЕ дан ДИКИЙ ПРИКАЗ

MAZIWA YA SINGIDANI NA KINDAI KUTAKIWA KULINDWA NA KUHIFADHIWA BAADA YA KUBAINIKA YAPO HATARINI

MAZIWA YA SINGIDANI NA KINDAI KUTAKIWA KULINDWA NA KUHIFADHIWA BAADA YA KUBAINIKA YAPO HATARINI

Конструирование чуда: раскрытие секретов плотины Гувера

Конструирование чуда: раскрытие секретов плотины Гувера

Maajabu Ya Ziwa Singida / Wanaingia Bila Nguo Kuombea Mvua

Maajabu Ya Ziwa Singida / Wanaingia Bila Nguo Kuombea Mvua

TAZAMA FURSA ZA KIUCHUMI ZIWA KINDAI SINGIDA

TAZAMA FURSA ZA KIUCHUMI ZIWA KINDAI SINGIDA

Leonard Wa Muthende accepts IEBC Certificate as MP-elect for Mbeere North #ByElection2025

Leonard Wa Muthende accepts IEBC Certificate as MP-elect for Mbeere North #ByElection2025

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]