Dr Tulia, Naibu Waziri Wambura walivyofunga Tamasha la Ngoma za Jadi, Mbeya
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-09-24
Просмотров: 3589
Kutokea Mbeya weekend hii Naibu Spika Dr Tulia Ackson kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust aliweka mashindano ya Ngoma za Jadi ambapo vikundi mbalimbali kutoka mikoa 15
ya Tanzania vilishiriki huku Washindi walijinyakulia zawadi mbalimbali kama vile pikipiki na pesa taslim.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: