Kampuni ya RMS yaandaa kambi ya matibabu jijini Mombasa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-11-07
Просмотров: 1707
Kampuni ya royal Media services imeandaa huduma za matibabu ya bila malipo kwa wakaazi wa mombasa. Zoezi hilo linaandaliwa katika uwanja wa mwahima eneo Bunge la Likoni linatazamiwa kutoa hamasisho kuhusu muhimu wa afya. Francis Mtalaki anaungana nasi mubashara kw amengi zaidi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: