UNAKUMBUSHWA KUWA DIRISHA LA KWANZA LA UDAHILI WA SHAHADA YA KWANZA LITAFUNGWA AGOSTI 10, 2024
Автор: TCU TV Tanzania
Загружено: 2024-08-01
Просмотров: 7923
Leo Agosti 01, 2024, Yombo Manumbu yupo kwenye treni ya SGR akielekea Dodoma katika uzinduzi wa treni hiyo, ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Yombo anakukumbusha kuwa dirisha la kwanza la maombi ya udahili wa Shahada ya Kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025 litafungwa Agosti 10, 2024.
Msikilize!
#UdahiliWaShahadaYaKwanza2024_2025
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: