Mapenzi yake na baba mkwe yalimpotezea kila kitu | hadithi ya chasimba
Автор: CHASIMBA
Загружено: 2025-09-06
Просмотров: 15308
Hadithi hii ya kusisimua inasimulia maisha ya Zainabu, msichana mdogo aliyeolewa na kijana wa uswahilini lakini akajikuta akivutwa kwenye mapenzi ya mwiko na baba mkwe wake. Siri zao zilipoanza, Zainabu aliona faraja na msaada, lakini mwisho wa safari, mapenzi yake na baba mkwe yaligeuka kuwa chanzo cha fedheha kubwa, usaliti na maumivu yasiyoisha.
Hii ni drama love story ya kweli inayoonyesha namna tamaa na usaliti wa kifamilia vinavyoweza kumharibia mwanadamu kila kitu—ndoa, heshima na maisha. Ni kisa cha mafunzo, kinachothibitisha kwamba mapenzi ya mwiko kamwe hayana mwisho mwema.
Usikose kufuatilia hadithi ya zainabu mapenzi yake na baba mkwe yaliyojaa siri, maumivu na funzo kubwa la maisha
Hadithi hii ni hadithi ya kufikirika niliyoiandika mimi mwenyewe ili kuleta funzo na elimu kwa jamii
msimuliaji wako ni mimi chasimba karibu sana.
Hapa tunasimulia hadithi zenye mafunzo, mapenzi yenye majonzi na furaha, mahusiano yanayovunjika na kujengwa tena, na visa vya ajabu vya majini, mapepo, na ulimwengu wa giza usioelezeka. Kila simulizi lina mguso wa kipekee, wa kusisimua na wenye mafundisho ya maisha.
👂Usikose kila hadithi — bonyeza subscribe, like na comment ili kusapoti chaneli yetu!
https://www.instagram.com/chasimba_u2...
/ 1dbvltshah
#HadithiZaMapenzi
#SimuliziZaKweli
#DramaZaMapenzi
#VisaVyaAjabu
#Mahusiano
#HadithiZaMajini
#Chasimba
#MaishaYaWatu
#StoryTeller
#KiswahiliStories #HadithiZaKiswahili #DramaZaMaisha
#HadithiZaKweli
#KisaChaMaumivu #SimuliziZaUsaliti
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: