BINTI KIMANZI Full Movie
Автор: ALL MOVIES
Загружено: 2020-09-23
Просмотров: 7010
Kama unampenda kweli ni dhahiri utakuwa makini ili usimpoteze, hisia za mapenzi ni zaidi ya mila na desturi zetu… “Umetaka sawa hautaki potelea mbali. Huyu lazima utamuoa tu”. Maskini JANETH ni kama tunda lililoanguka na haijulikani ni nani atakayeliokota. Binti Kimanzi ni filamu ya kusisimua inayogusa maisha ya Mtanzania
#All movies ni chaneli ya filamu ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa filamu za kiswahili za kale zilizo pendwa Kuanzia maigizo, ucheshi na filamu zakutisha zilizo tamba myaka ya nyuma bila kusahau na filamu za mapenzi zenye kusisimuwa Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki.
#All movies is an online video channel dedicated to Swahili oldschool movies horror to love story movies and comedy we bring you the highest quality Swahili old school entertainment
#| Bongo Filamu | Comedy |Bongo Movies
#moresubscribers2020#moreviews2020#Growmychannel
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: