Ukisomea taaluma hizi, lazima upate ajira serikalini
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-05-03
Просмотров: 40161
Serikali kupitia Naibu Waziri Ofsisi ya Waziri Mkuu Anthony Mavunde imetaja masomo na taaluma ambazo zina fursa kubwa ya ajira serikalini.
Mavunde alikuwa akijibu swali la Mbunge Viti Maalum Mosi Raymond aliyetaka kujua pia takwimu za wahitimu wa vyuo mbalimbali ambao hukosa ajira.
Katika majibu yake Mavunde ameeleza mikakati ya serikali ya kupunguza tatizo la ajira kwa wahitimu wa vyuo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: