Yanga SC 5=0 Fountain Gate | Highlights | NBC Premier League 29/12/2024
Автор: Azam TV
Загружено: 29 дек. 2024 г.
Просмотров: 245 044 просмотра
Yanga imekuwa timu ya kwanza kushinda 5-0 kwenye ligi kuu msimu huu, wakiwachakaza Fountain Gate FC kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam.
Magoli ya Yanga yamefungwa na Pacome Zouzoua aliyefunga mawili, Mudathir Yahya, Jackson Shiga aliyejifunga na Clement Mzize dakika ya 88.

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: