03 Sugar Igaufe - Vinanda (Lyrics)
Автор: Sugar Igaufe
Загружено: 2024-07-25
Просмотров: 2649
A festive and energetic track that invites you to party and celebrate.
Ep Dollar
https://hypeddit.com/sugarigaufe/doll...
Waanze kukusema zikisha wapanda
Zikisha wapanda
Tulisha wabana
Kwanza sura zao zilisha fanana
Eeeee wote am name is sugar ukiniita sukari hujakosea you know
Weeeee blay
Verse1
We baba x2
Acha kutupeleka mu byako
Habina amo faranga x2
We kaka x2
Acha kutupeleka mu byako
Biko amo manyanga
Habina mwangaza
Tulia tulia tulia
Basiku cheke cheke
Usijifanye sa shege
Usijikute wepeke
Bridge
Tulia Tulia tulia
Iyi siyo time ya kulia
Tulia tulia tulia
Haujuwe kwenye kesho utakulia
Maneno maneno maneno
Haikukishake maneno
Maneno maneno maneno
Haivumishake maneno x2
Verse2
We blay eeeee wote
Kasirani zimeniingia kati
Pigeni filimbi minyuzi vinanda
Wasikudanganye eti ni mashkaji
Kuanza kukusema zikisha wapanda
Zilisha wapanda
Tulisha wabana
Kwanza sura zao zilisha fanana
Sisi wakanda
Hauwezi tushinda
Kibao tutazichapa ndani ya viwanda
Bridge
Tulia tulia tulia
Basiku cheke cheke
Usijifanye sa shege
Usijikute wepeke
Tulia Tulia tulia
Iyi siyo time ya kulia
Tulia tulia tulia
Haujuwe kwenye kesho utakulia
We blay
Eeeee wote blay
Zilisha wapanda
Tulisha wabana
Kwanza sura zao zilisha fanana
Sisi wakanda
Hauwezi tushinda
Kibao tutazichapa ndani ya viwanda
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: