IBADA MAALUM YA WASICHANA | SITAZAA MAPOOZA KWENYE MAHUSIANO YANGU
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2025-03-22
Просмотров: 7624
BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika kipindi cha neno, maombi na maombezi kwa ajili ya wasichana inayokujia leo Jumapili ya tarehe 23 Machi 2025 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii inakujia mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam na ina kichwa cha somo "SITAZAA MAPOOZA KWENYE MAHUSIANO YANGU".
Session hii maalum inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: