Agape Gospel Band - Matokeo Ya Neema (Live Music Video)
Автор: Agape Gospel Band
Загружено: Premiered Feb 2, 2024
Просмотров: 311,293 views
Yamkini umekataliwa na ndugu,familia au marafiki, na umefika mahali umekata tamaa nakuona kama huwezi tena kufanya hatua,wimbo huu ukutiye nguvu.
Yupo Mungu anaye kujua na anayekutambua vyema na yuko pamoja na wewe kukutia nguvu.
Neema yake ipo juu yako sasa na hata milele usikate tamaa.
1 Wakorintho 15:10
Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, bali nalizidi sana kufanya kazi kupita wao wote; wala si mimi, bali ni neema ya Mungu pamoja nami.

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: