Haki za mke kwa mume- Sheikh Abdul Basit Othman
Автор: Kalamutz
Загружено: 2022-04-23
Просмотров: 4713
Unazijua haki za mke kwa mume?
Unajua ni yapi yanampa mume haki ya kutompa chakula mkewe?
Unajua ni marufuku kwa mujibu wa sheria ya kiislamu kumpiga mkeo usoni?
Katika Darsa hili Sheikh Abdul Basit anayatolea yote hayo na mengine mengi ufafanuzi wa kina.Tunaamini kuna mengi utajifunza kupitia Darsa hili hivyo tunnakuomba usiachea shea(sambaza) link ya video hii kwa wengine ili wajifunze kama ulivyo jifunza.Tusiwe wachoyo wa maarifa,Kushea maarifa ni Sunnah.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: