Eneo la Ajali ya Wanafunzi wa Lucky Vincent, Karatu
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-05-11
Просмотров: 258070
ARUSHA: Siku nne baada ya kutokea kwa ajali iliyosababisha vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja wa Shule ya Lucky Vincent Nursery and Primary ya jijini hapa iliyotokea katika Mlima wa Rhotia kuelekea mjini Karatu, mazito yameibuka kutoka eneo la ajali.Tangu kutokea kwa ajali hiyo mambo mbalimbali yamekuwa yakisemwa juu ya eneo hilo la ajali ikiwemo madai ya kuwapo kwa jini msababisha ajali au mtoa roho za watu hivyo Global tv online ililazimika kufika mahali hapo ili kupata majibu kamili.
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpublishers
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: