Mbinu 7 za Kujiajiri Baada ya Chuo! Unapataje Mtaji!
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-09-17
Просмотров: 74
Sasa hivi kuna tatizo kubwa la vijana ambao wamemaliza masomo vyuoni lakini hawana AJIRA.
Je, kuna ufumbuzi wa hili tatizo la kukosa ajira?
Upo ufumbuzi wa hili tatizo kwa vijana kujiajiri wenyewe badala ya kutegemea ajira za serikali, masharika yake na private sector
Nimekwisaha eleza mbinu 7 za kutekeleza ili kijana aweze kujiajiri
Katika video iliyopita nimeleza jinsi kijana anaweza kuchagua eneo sahihi la kuanzisha biashara
Video hii nitaeleza jinsi ya kutambua mahali unapoweza kupata mtaji wa biashara
How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara, elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Pia tunatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: