MKONO WA BWANA || BORN TO PRAISE MINISTRY TZ || OFFICIAL VIDEO 6K
Автор: Born to Praise Ministry Tanzania
Загружено: 2023-12-01
Просмотров: 8148
Safari ya Maisha yetu inatupitisha katika nyakati tofauti tofauti. Zipo nyakati za Amani na Furaha, zipo nyakati za taabu na majonzi. Kila mmoja anapitia uzoefu wa kipekee katika nyakati hizi na hakika wapo waliouona mkono wa BWANA. Wimbo huu ukukumbushe uweza wa mkono wa Bwana nyakati zote za maisha yako.
Contact +255 784 492 838 / +255 782 034 442
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: