Kusimamia Mambo kwa Uadilifu | Khutba ya Ijumaa – Maalim Ally | Masjid Shura Moja
Автор: Tuijenge Imani Yetu – Islaam
Загружено: 2025-12-12
Просмотров: 24
Khutba ya Ijumaa kutoka Masjid Shura Moja
Mada: Kusimamia Mambo kwa Uadilifu
Maalim: Ally
Uadilifu ni nguzo muhimu katika maisha ya Muislamu. Ni msingi unaojenga jamii yenye haki, amani na mwenendo mwema.
Katika khutba hii Maalim Ally anafundisha umuhimu wa kusimamia mambo kwa uadilifu katika:
✔️ Familia
✔️ Jamii
✔️ Majukumu ya kazi
✔️ Nafasi za uongozi na uangalizi
Tafadhali like, comment na subscribe ili tuendelee kukuletea khutba na mawaidha yenye manufaa kila wiki.
Jiunge nasi kila Ijumaa mubashara kupitia YouTube.
Allah atujaalie tufaidike na tuwe miongoni mwa wenye kusimamia uadilifu. Ameen.
#KhutbaYaIjumaa #MasjidShuraMoja #MaalimAlly #Uadilifu #Islambora #Mawaidha #DarasaLaIjumaa #Waislamu #TanzaniaIslam #Dini
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: