HADAA YA KUZIMU SHAKAHOLA: Idadi kubwa ya waliofariki ni watoto [Part 2]
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-01-17
Просмотров: 13701
Kilichoanza kama amri ya mahakama kwa maafisa wa upelelezi kubaini iwapo kuna watoto waliofariki au kuuawa katika shughuli za kanisa la Good News International kiligeuka kuwa uchunguzi wa mauaji mabaya zaidi yaliyowahi kufanyika nchini. Maiti 428 za wafuasi wa mhubiri tata Paul Mackenzie zimepatikana katika msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifi. Je ni vipi Paul Mackenzie aliwahadaa wafuasi hawa hadi msituni Shakahola na namna walivyoaga dunia? Chemutai Goin ametuandalia makala maalum kuhusu hadaa ya kuzimu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: