KARDINALI Kutoka TANZANIA Akishiriki zoezi la KUMCHAGU PAPA MPYA... 🙏
Автор: NJE YA BOX TV
Загружено: 2025-05-07
Просмотров: 473
Kardinali Rugambwa kutoka Tanzania aonekana akila kiapo maalum cha kushiriki kumchagua Papa mpya wa Kanisa Katoliki. Tukio hili la kihistoria linaonyesha nafasi muhimu ya Tanzania katika uongozi wa Kanisa duniani. Tazama video hii kujua zaidi kuhusu kiapo hicho na mchakato mzima wa uchaguzi wa Papa!
.
.
#njeyaboxtv #tiktoktanzania #njeyaboxtvuganda #njeyaboxtvupdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: