INASKITISHA DALAJA LA LUVU MKOANI MOROGORO
Автор: MATOMBO Online TV
Загружено: 2022-07-07
Просмотров: 2231
wamesema kuwa Daraja hili ndio kivuko kikuu na ndio daraja pekee linaloleta mawasiriano baina ya morogoro kaskazini na morogoro kusini. limekuwa ni kero ya muda mrefu Sana, linahatarisha usalama wa abiria pamoja na vyombo vyao vya usafiri. wameomba viongozi husika wafanye jambo ktk hili daraja kabla ya kutokea madhara mengi zaidi...
kwa habari za siri au fununu za habari au tukio wasiliaana nasi Kwa namba zifuatazo
#0734796585
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: