CHEKECHE | Kukwama kwa mkataba wa Marekani na Ukraine inaamanisha nini?
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-03-01
Просмотров: 17164
Ni kama kufumba na kufumbua, sasa ni miaka mitatu ya vita tangu majeshi ya Urusi yaivamie Ukraine Februari 24 mwaka 2022, ambapo mpaka sasa muafaka haujapatikana licha ya jitihada mbalimbali.
Katikati ya mkwamo huo, makubaliano ya Marekani kuwepo Ukraine na kuvuna sehemu ya madini ya nchi hiyo nayo yamekwama na kuibua mjadala zaidi juu ya mustakabali wa vita vinavyoendeshwa na Urusi, kulikoni?
Karibu sana katika #Chekeche
#azamtvupdates #azamtvupdates
Imeandaliwa na Warda John
Mhariri | John Mbalamwezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: