MFAHAMU MWAMI NDEZE; MFALME PEKEE MUHUTU ALIYELINDA AMANI ya RUTSHURU WAKATI CONGO YOTE IKIWAKA MOTO
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-04-21
Просмотров: 9263
MFAHAMU MWAMI NDEZE; MFALME PEKEE MUHUTU ALIYELINDA AMANI ya RUTSHURU WAKATI CONGO YOTE IKIWAKA MOTO....
Sikuwahi kujua kama ndani ya Congo DRC kuna mji watu wanaongea Kiha kabisa kama cha watu wa Kibondo Kigoma, sema wenyewe wanakiita Kinyabwisha. Nimekuja kujua baada ya Fikiri mtoto wa DRC aishie nchini Australia kunisimulia Habari za Mwami Ndeze.
Congo kila mtu anaijua. Zamani iliitwa Zaire, nchi yenye raha na maraha, nchi ya wasakata rumba na wala bata, watu wa Zaire tuliwaitwa wazairwaa, very smart, weupe, wanajipenda, walinukia marashi murua, hakika kila mtu alipenda Kwenda Zaire.
Leo hii ukitaja Congo, picha inayogonga ndani ya vichwa vya watu wengi ni machafuko! Yaani watu wanajua muda wote kule watu … FUATILIA MAKALA HAYA YA KUSISIMUA YA DENIS MPAGAZE.||
=========================================================
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: