Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MAKONDA AIBUA MADUDU 'INGEKUWA NI UWEZO WANGU WOTE NINGEWAFUKUZA KAZI' LEO TUTAWAPIGA SIPANA.

Автор: JAMBO TV

Загружено: 2024-05-30

Просмотров: 10580

Описание:

#JAMBOTV
RC MAKONDA AKERWA NA MIVUTANO YA MADIWANI,MBUNGE NA HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amekemea tabia ya malumbano na kuvutana kwa watumishi na watendaji wa Halmashauri ya Jiji la Arusha suala ambalo limekuwa likisababisha kukwama kwa miradi mingi ya maendeleo licha ya Serikali kutoa fedha nyingi za kutekeleza miradi hiyo.

Mkuu wa Mkoa ametoa kauli hiyo leo Mei 30, 2024 ofisini kwa Mkuu wa Mkoa, mara baada ya kupokea ripoti ya utendaji wa Wilaya ya Arusha, ripoti iliyoonesha kukwama kwa miradi mingi ya maendeleo kutokana na mabishano, malumbano na kutokuelewana kati ya Menejimenti ya Wilaya, Baraza la madiwani na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini.

Mhe.Felician Mtahengerwa, Mkuu wa Wilaya ya Arusha amemueleza Mkuu wa Mkoa kuwa migongano hiyo ja kutokuelewana kati ya viongozi wa kuteuliwa na kuchaguliwa kumesababisha adhabu kubwa kwa wananchi kutokana na miradi muhimu kukwama na hivyo kuwachelewesha kimaendeleo.

Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda amewaambia viongozi hao kuwa ingekuwa ni mamlaka yake angeivunja Mamlaka hiyo ya Jiji akihoji umuhimu wa Jiji kuwepo katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Jiji la Arusha.

Kufuatia hali hiyo Mhe. Mkuu wa Mkoa amelitaka pia Baraza la Madiwani Jiji la Arusha kujitafakari na kuamua kuwa sauti ya wananchi kikamilifu na kupambana kuhakikisha maendeleo ya watu yanapatikana kwa kukamilisha miradi yote ya maendeleo kwa wakati
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►YOUTUBE:    / @jambotv908  
►INSTAGRAM:   / jambotv  
►TWITTER:   / jambotv_  
►FACEBOOK:   / jambotv  
►WEBSITE: https://jambo.tz/

MAKONDA AIBUA MADUDU 'INGEKUWA NI UWEZO WANGU WOTE NINGEWAFUKUZA KAZI' LEO TUTAWAPIGA SIPANA.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

VIDEO: MAKONDA AKILIA kwa UCHUNGU ALIPOFIKA kwa MTOTO MUUZA NDIZI -RAIS SAMIA AHAIDI KUWAPA NYUMBA..

VIDEO: MAKONDA AKILIA kwa UCHUNGU ALIPOFIKA kwa MTOTO MUUZA NDIZI -RAIS SAMIA AHAIDI KUWAPA NYUMBA..

"WEWE UMESOMEA NINI? NAKUPANDISHA CHEO I UTAKUWA MSAIDIZI WANGU' MAKONDA

WATUHUMIWA KUVAMIA ENEO LA UCHIMBAJI NA KUCHIMBA KINYUME CHA SHERIA WAKIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI

WATUHUMIWA KUVAMIA ENEO LA UCHIMBAJI NA KUCHIMBA KINYUME CHA SHERIA WAKIOMBA SERIKALI KUINGILIA KATI

MAKONDA awatumbua VIONGOZI WAWILI kwa mpigo

MAKONDA awatumbua VIONGOZI WAWILI kwa mpigo "andikeni barua wenyewe semeni hamfai"

KIMENUKA!MADELEKA AFICHUA YASIYOJULIKANA JESHI LA POLISI/AWATAJA WALIOPOTEA, POLEPOLE,BEN SAANANE...

KIMENUKA!MADELEKA AFICHUA YASIYOJULIKANA JESHI LA POLISI/AWATAJA WALIOPOTEA, POLEPOLE,BEN SAANANE...

SAKATA LA UWEKEZAJI LAMUIBUA KANALI SIMBAKALIA/ ATAKA MIRADI YOTE YA KIMKAKATI WAPEWE WAZAWA

SAKATA LA UWEKEZAJI LAMUIBUA KANALI SIMBAKALIA/ ATAKA MIRADI YOTE YA KIMKAKATI WAPEWE WAZAWA

Ah! RC Makonda: Yani Mchungaji Unadanganya!! Ntachukua Kanisa Lako Mimi, Unakula K..

Ah! RC Makonda: Yani Mchungaji Unadanganya!! Ntachukua Kanisa Lako Mimi, Unakula K..

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 -

WAZIRI AWESO Amtumbua MENEJA RUWASA, AKASIRIKA Kukuta MAJI HAYATOKI Kisa ELFU 50 - "TAFUTA KAZI"..

"Nakupandisha Cheo kuanzia leo utakua msaidislzi wangu" MAKONDA amteua mzaidizi wake Mkutanoni

НАЧАЛОСЬ! В России вспыхнул БУНТ Чечни против Кремля. Это ВОССТАНИЕ УДАРИТ по Путину

НАЧАЛОСЬ! В России вспыхнул БУНТ Чечни против Кремля. Это ВОССТАНИЕ УДАРИТ по Путину

MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA

MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA

Polisi Anayedaiwa Kudhulumu Nyumba ya Kikongwe Kwa Tsh. Laki Tano Aingia 18 za RC Makonda

Polisi Anayedaiwa Kudhulumu Nyumba ya Kikongwe Kwa Tsh. Laki Tano Aingia 18 za RC Makonda

MADUDU ya KUTISHA ALIYOIBUA MWALIMU BEATRICE YACHUKUA SAA 1 MAKONDA KUMALIZA MGOGORO WOTE....

MADUDU ya KUTISHA ALIYOIBUA MWALIMU BEATRICE YACHUKUA SAA 1 MAKONDA KUMALIZA MGOGORO WOTE....

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!

🔴#LIVE:PROF.KITILA AKIELEZEA HALI YA UWEKEZAJI NCHINI TZ KWA MWAKA 2025/UZINDUZI KONGANI YA VIJANA

🔴#LIVE:PROF.KITILA AKIELEZEA HALI YA UWEKEZAJI NCHINI TZ KWA MWAKA 2025/UZINDUZI KONGANI YA VIJANA

KWA UCHUNGU MADELEKA AFUNGUKA SABABU ZA KUACHA KAZI YA UPOLISI/AILIPUA TUME HURU YA UCHAGUZI....

KWA UCHUNGU MADELEKA AFUNGUKA SABABU ZA KUACHA KAZI YA UPOLISI/AILIPUA TUME HURU YA UCHAGUZI....

ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

SIRI YAFICHUKA! KIJANA ALIYEKUWA ANAMBEBA BARAKA MAHAKAMANI APOKEA ZAIDI YA MILIONI KUMI ZA WANANCHI

SIRI YAFICHUKA! KIJANA ALIYEKUWA ANAMBEBA BARAKA MAHAKAMANI APOKEA ZAIDI YA MILIONI KUMI ZA WANANCHI

⚡️ Удар по Верховной Раде? || Ответ за

⚡️ Удар по Верховной Раде? || Ответ за "покушение" на Путина

🔴#LIVE:MADELEKA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU/MASWALI MAZITO TUME YA UCHUNGUZI OKT 29/JESHI LA POLISI..

🔴#LIVE:MADELEKA ANAFUNGUKA MAZITO MUDA HUU/MASWALI MAZITO TUME YA UCHUNGUZI OKT 29/JESHI LA POLISI..

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]