Rais Magufuli atinga kanisani kwa Wasabato Magomeni, awapa pesa
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-09-02
Просмотров: 195554
President John Pombe Magufuli na Mke wake Mama Janeth Magufuli September 2 2017 waliungana na Waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato, usharika wa Magomeni Mwembechai Dar es Salaam kusali Ibada ya Sabato.
Ibada iliongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, Baba Askofu Mark Walwa Malekana aliyekuwa pamoja na Askofu wa Jimbo la Mashariki Kati, Baba Askofu Joseph Mgwabi na Askofu wa Jimbo la Kusini Mashariki, Baba Askofu Albert Nziku.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: