JINSI YA KUANDAA ‘BOOK COVER’ BORA KWA NJIA RAHISI NA BURE KABISA | How to Create Book Cover Freely
Автор: Mwalimu Bassu
Загружено: 2020-09-05
Просмотров: 622
JINSI YA KUANDAA ‘BOOK COVER’ BORA KWA NJIA RAHISI NA BURE KABISA | How to Create Book Cover Freely
Karibu katika Group letu la ELIMU YA Kompyuta Bure
https://chat.whatsapp.com/Gb9VZRlTIGr...
====
Nafundisha haya BURE ili nawe uweze kujipatia KIPATO CHA ZIADA kama umeajiriwa. Pia uweze kujipatia kipato cha kukuwezesha kujipatia mtaji ukapate kujiajiri kama hujaajiriwa.
Basi nikuombe usome maswali yafuatayo kwa uangalifu kisha fuata maelekezo yanayofuata;
1-Je, unaandika kitabu?
2-Je, unatarajia kuwa mwandishi wa vitabu?
3-Je, unataka kujipatia kipato kupitia kuwaandalia “Book Cover” waandishi wa Vitabu mbalimbali?
Kama jibu ni NDIYO kwenye moja ya maswali hayo basi naomba nikukaribishe ufuatane nami katika Video ifuatavyo ili tujifunze pamoja kwa hatua rahisi “JINSI YA KUANDAA ‘BOOK COVER’ BORA KWA NJIA RAHISI NA BURE KABISA”
LINK: • JINSI YA KUANDAA ‘BOOK COVER’ BORA KWA NJI...
Kama jibu ni HAPANA kwenye maswali yote mitatu hapo juu, basi nijulishe kwa ujumbe wa WhatsApp kupitia +255754553303 UNAPENDA TUJIFUNZE PAMOJA KITU GANI katika IT (Information technology)?
KARIBU SANA.
===
#Mwalimu_Bassu #ELIMU_YA_KOMPYUTA_BURE #Tengeneza
TOVUTI NILIYOTUMIA (PROGRAMU)
https://www.graphicsprings.com/book-c...
PICHA ZILIZOTUMIKA
https://www.pngfuel.com/free-png/adtus
https://www.pngfuel.com/free-png/anqrf
https://www.pngfuel.com/free-png/aafda
https://www.pngfuel.com/free-png/anleh
https://www.pngfuel.com/free-png/nrstq
https://www.pngfuel.com/free-png/aathv
https://www.pngfuel.com/free-png/ndyjx
https://www.pngfuel.com/free-png/aursp
*PREVIOUS VIDEOS*
JINSI YA KUTENGENEZA CHATI (CHARTS) MBALIMBALI KWENYE MICROSOFT EXCEL NA KUBADILI MUONEKANO WAKE | SOMO LA 6
LINK: • JINSI YA KUTENGENEZA "CHART" MBALIMBALI KW...
MAZOEZI
JINSI YA KUANDAA FOMU YA USAJILI WA WANAFUNZI KWA MICROSOFT EXCEL
LINK: • JINSI YA KUANDAA FOMU YA USAJILI WA WANAFU...
=
MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUPANGILIA VYEMA KAZI YAKO KWENYE PROGRAMU YA EXCEL| KUWEKA “BORDERS” NA “BACKGROUND COLOUR” | SOMO LA 5
LINK: • MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUPANGILIA VYEM...
=
MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUANDIKA CELL COMMENTS | KUFANYA MAREKEBISHO KWENYE WORKSHEET | EDITING A WORKSHEET | SOMO LA 4
LINK: • JINSI YA KUANDIKA "CELL COMMENTS" | MAREKE...
=
MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUTUMIA RELATIVE NA ABSOLUTE CELL REFERENCES | BAADHI YA FOMULA RAHISI | WORKSHEET BASICS | SOMO LA 3
LINK: • MICROSOFT EXCEL | JINSI YA KUTUMIA RELATIV...
=
MICROSOFT EXCEL | SOMO LA 2 | VIPENGELE MUHIMU VYA PROGRAMU | JINSI YA KUPATA USAIDIZI | NJIA ZA MKATO ZINAZOTUMIKA ZAIDI
LINK: • MICROSOFT EXCEL | SOMO LA 2 | VIPENGELE MU...
=
MICROSOFT EXCEL – JIFUNZE MICROSOFT EXCEL | SOMO LA I
LINK: • MICROSOFT EXCEL | SOMO LA KWANZA | MAANA Y...
=
HOW TO VALIDATE USER LOGIN FORM | STUDENTS’ INFORMATION SYSTEM | LESSON 5
LINK: • HOW TO VALIDATE USER LOGIN FORM | STUDENTS...
=
How to Create Login form | Student Information System | Lesson 4
LINK: • HOW TO CREATE LOGIN FORM | STUDENTS' INFOR...
=
HOW TO CONNECT WEB PAGES TO DATABASE AND USE SOME FUNCTIONS TO PROTECT THE DATABASE - Student Information System | Lesson 3
LINK: • HOW TO CONNECT WEB PAGES TO DATABASE AND U...
=
How to Create a Student Information System INTERFACE from Scratch-LESSON 2
LINK: • STUDENTS' INFORMATION SYSTEM INTERFACE CRE...
=
STUDENT INFORMATION SYSTEM DATABASE CREATION - LESSON 1
LINK: LINK: • STUDENT INFORMATION SYSTEM DATABASE CREATI...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: