Rais Ruto apokea hati za mabalozi sita wa kigeni
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 219
Rais William Ruto leo aliongoza hafla muhimu ya kidiplomasia katika Ikulu ya Nairobi ambapo alipokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi sita wapya. Hafla hiyo inaashiria mwanzo wa ushirikiano mpya wa kidiplomasia na kuimarika kwa mahusiano ya kimataifa kati ya Kenya na mataifa hayo sita.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: